Zanzibar State Trading Corporation (ZSTC)
Serekali ya Zanzibar

Where Quality Meets Excellence (ZSTC)

Afisa Mtendaji Mkuu kutoka Kampuni ya Mixx by yas akimkabidhi za wadi Mwenyekiti ya Bodi ya watendaji wa shirika la Biahara la Taifa (ZSTC) mara baada ya makabidhiano ya fedha za Bima kwa wakulima hafla iliyofanyika ukumbi wa Golden Tulip uwanja wa Ndege
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Nd Soud Said Ali akimkabidhi zawadi Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by yas Bi Angelica Pesha Mara baada ya Makabidhiano ya Fedha za Bima kwa ajili ya Malipo kwa wakulima hafla iliyofanyika Golden Tulip uwanja wa Ndege.
Customer service week.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban akitoa maelekezo kwa Uongozi wa ZSTC wakati alipotembelea Mtambo wa kuzalishia Vifungashio Saateni.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Nd, Soud Said Ali akitoa Maelezo ya Bidhaa zinazo zalishwa na Shirika hilo kwa Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said Wakati alipofika kwenye makabidhiano ya Fedha za wa kulimma kwa ajili ya Bima hafla iliyofanyika Golden Tulip Uwanja wa Ndege
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Nd, Soud Sid Ali akimkabidhi Mkulima wa Karafuu Micha ya Mkarafuu katika hafla ya ugawaji wamiche hiyo Mkoa wa Kusini Pemba.
Baadhi ya watendaji wa ZSTC wakiwa katika picture ya pamoja mara baada ya kumaliza mafunzo ya uboroshaji wa Tovuti ya Shirika